Mwalimu Mbaroni Kwa Kutaka Kumbaka Mwanafunzi Darasa La Saba

bongoleo.com


Image result for mbaroni
Mwalimu mkuu katika shule ya msingi ya Nandingwa huko kwenye Kitongoji cha Bukusu kaunti ya Bungoma nchini Kenya anashikiriwa na jeshi la polisi kwa kosa la kunyanyasa kijinsia mtoto wa darasa la saba


Mwalimu huyo Pius Sifuna nwenye umri wa miaka 51 anadaiwa kutenda kosa hilo mnamo tarehe 13 mwezi huu

Mwalimu huyo anadaiwa kumshika mwanafunzi huyo kwenye sehemu zake za siri alipokuwa kwenye ofisi yake akiomba msaada kutoka kwa mkuu huyo wa shule

Hata hivyo jeshi la polisi limemuachia mwalimu huyo kwa dhaman ya sh 200,000 za Kenya (Tsh. 500,000) mpaka pale kesi yake itakapo tajwa mahakamani

#1 Downloaded Personalized News App

Read in App for better experience

cancel confirm